News

President Uhuru confirms he has no power over private landlords but government entities

President Uhuru confirms he has no power over private landlords but government entities

Speaking to Radio citizens and Milele fm this morning and answering questions from Journalists, here is what he said after a question from Chris of Milele fm…

Chris Milele Fm: Mweshimiwa rais mambo na kodi (rent) ulivyosema wenye manyumba waelewane na wanao ishi ndani na kwa sasa rais tunaona katika mitandao wenye manyumba wengine wameanza kutolea wakaaji mabati kutoka kwa manyumba unasema aje kuusu hilo kama rais.

Rais uhuru: Nilivyowarai wenye manyumba muelewane na wakaaji wakati huu mgumu wa janga hili tuwe na utu wa mwanadamu , unajua siezi amka niseme watu wasilipe nyumba sababu hizo nyumba ni za wenyewe ni muelewane tu wakati huu mgumu. Mimi kama rais Naeza toa amri kwa kampuni za serikali kama Kenya Power na Nairobi water nilivyowaamuru kwa wakati huu mgumu wasikatie mtu yeyote stima ama maji wakati huu mgumu hadi nchi itakaporudi kawaida na nawaeza tena wasikie vizuri.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button